Nimefufuka na Bado
| Nimefufuka na Bado | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Pasaka (Easter) |
| Composer | (traditional) |
| Views | 6,924 |
Nimefufuka na Bado Lyrics
Nimefufuka na bado ningali pamoja nawe
Aleluya wauweka mkono wako juu yangu- Ee Bwana mchungaji wangu popote wanifahamu
- Hakuna chochote kwangu, usikifahamu Bwana
- Hata nikiwemo mbinguni pia niende kuzimu
- Mtukufu Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu