Bwana Amefufuka Kweli Kweli

Bwana Amefufuka Kweli Kweli
Performed by-
CategoryPasaka (Easter)
Views6,783

Bwana Amefufuka Kweli Kweli Lyrics

  1. Bwana amefufuka kweli kweli aleluya *2
    Utukufu na ukuu una yeye hata milele na milele *2

  2. Nimefufuka na bado ningali pamoja nawe
  3. Umeniwekea mkono wako
  4. Maarifa hayo ni ya ajabu aleluya
  5. Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya