Aleluya Tuimbe

Aleluya Tuimbe
Choir-
CategoryPasaka (Easter)
SourceTanzania

Aleluya Tuimbe Lyrics

Aleluya tuimbe, Bwana amefufuka
Ametoka kaburini mzima, aleluya Bwana kafufuka
Kweli tuimbe aleluya *2

 1. Kaburi liko tupu, Mwokozi ametoka
  Ameshinda kifo na mauti, amefufuka aleluya
 2. Mwokozi yu mzima kaburini hayumo
  Ameshinda kifo na mauti, amefufuka aleluya
 3. Tuimbe aleluya, tuimbe kwa furaha
  Kwani Bwana ameshinda kifo, amefufuka aleluya
 4. Twendeni na mitume, twendeni Galilaya
  Huko ndiko tutakapomwona, alivyosema aleluya