Pangoni Humu

Pangoni Humu
Performed by-
CategoryNoeli (Christmas Carols)
Composer(traditional)
Views5,375

Pangoni Humu Lyrics

  1. Pangoni humu amezaliwa mtoto Yesu
    Wachungaji njooni tumwabudie mtoto Yesu
    Malaika (wote) wanaimba -
    Utukufu kwa Mungu juu mbinguni
    Na amani (pote) duniani
    Kwa watu wote wenye mapenzi mema

  2. Mtoto Yesu amezaliwa, pangoni Bethlehemu
  3. Wachungaji wamefika, kumwona Mtoto Yesu
  4. Malaika mbinguni wanaimba, wakimsifu Mwokozi
  5. Nasi twende na zawadi zetu, Masiha kazaliwa