Leo Yatimizwa
Leo Yatimizwa | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Noeli (Christmas Carols) |
Views | 10,507 |
Leo Yatimizwa Lyrics
Leo yatimizwa maneno ya kale
Masihi kazaliwa, heko kwake
Isaya alisema Bikira atamzaa
(nasi) tufurahi na kumwimbia atokaye Mbinguni
Shangwe kuu tumpokeapo mgeni
Mwana wa Mungu Kristu
(tumshangilie) heko heko kwa bikira
Na mwanaye Yesu Kristu na tumshangilieni- Herode upoe moto, usipayuke bure
Yeye mfalme wa Mbinguni hana haja na wako - Mwenye dhambi futa jasho takubebea mzigo
Damu itafanya kazi, dhambi tatusamehe