Tushangilie Amezaliwa

Tushangilie Amezaliwa
Performed by-
CategoryNoeli (Christmas Carols)
Views3,165

Tushangilie Amezaliwa Lyrics

  1. Katika mji wa Daudi, malaika ametangaza
    Kwamba kweli amezaliwa kwetu Emmanueli
    Yaani Mungu pamoja nasi

    Na tushangilie, tushangilie
    na tushangilie, amezaliwa *2
    Tushangilie amezaliwa,
    amekuja leo kutuokoa *2
  2. Usiku huo wa kuzaliwa kwake,
    Wachungaji walipashwa habari
    Ya kuzaliwa kwake mwenye utukufu
    Yaani Mungu pamoja

    Shangwe kote ulimwenguni
    Shangwe leo, Hosanna
    Shangwe kote ulimwenguni
    Emmanueli amezaliwa
  3. Ulimwenguni kupambazuka leo
    Kwani nuru imewajia wote
    Wale wanyonge hao wanaojiweza
    Basi mbona ubaki gizani?

    Na tushangilie tushangilie
    Tushangilie amezaliwa*2