Ni Usiku Kweupe
| Ni Usiku Kweupe | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Noeli (Christmas Carols) |
| Views | 3,095 |
Ni Usiku Kweupe Lyrics
- Ni usiku kweupe hapa kwani
mwanga huu wa nini, kuangaza hukuMsiche hayo mwende mbio wachunga
Ni Masiha ashukiao
Karibuni mtazameni mzaliwa
Masiha hapo pangoni - Twaarifu aliyelazwa chini
Mwana Mungu yakini, Mfalme Mtukufu - Sikieni ni malaika hao
Kweli sauti yao, huko anagani - Nyimbo gani zamtaja mwenye adhama
Mleta kwetu salama, mshinda shetani - Baadaye kila mwenye kutakata,
Wokovu ni kupata kwa rehemaye