Baba Mikononi Mwako
| Baba Mikononi Mwako | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) | 
| Views | 13,909 | 
Baba Mikononi Mwako Lyrics
- Baba mikononi mwako, naiweka roho yangu
- Baba uwasamehe, kwani hawajui wanalofanya
- Nakwambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami paradisoni,
- Mama tazama huyu ndiye mwanao, tazama huyu ndiye mama wako
- Ili andiko litimizwe, Yesu alisema naona kiu
- Baada ya kupokea siki alisema yametimia
- Mungu wangu Mungu wangu, mbona umeniacha
- Baba mikononi mwako naiweka roho yangu
 
  
         
                            