Baba Mikononi Mwako

Baba Mikononi Mwako
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
SourceTanzania

Baba Mikononi Mwako Lyrics

Baba mikononi mwako, naiweka roho yangu

  1. Baba uwasamehe, kwani hawajui wanalofanya
  2. Nakwambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami paradisoni,
  3. Mama tazama huyu ndiye mwanao, tazama huyu ndiye mama wako
  4. Ili andiko litimizwe, Yesu alisema naona kiu
  5. Baada ya kupokea siki alisema yametimia
  6. Mungu wangu Mungu wangu, mbona umeniacha
  7. Baba mikononi mwako naiweka roho yangu