Kuteswa Kwake Bwana

Kuteswa Kwake Bwana
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Kuteswa Kwake Bwana Lyrics

Kuteswa kwake Bwana kulinipa wokovu
Siachi kumuimbia pote niendapo *2

  1. Aliyeniokoa ni Yesu aliyevumilia mateso
    aliyemwaga damu mtini ndiye Bwana wangu *2
  2. Na kwa kunipenda mimi, aliuawa akafa
    Ni pendo la ajabu kunifilia *2
  3. Rohoni nimeoshwa na damu ya thamani
    Makosa yameoshwa naye Mwokozi *2