Jahazi Jahazi
| Jahazi Jahazi | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 4,394 |
Jahazi Jahazi Lyrics
Bwana jahazi letu, kweli laangamia
{Mawimbi yametuzidia jahazi ladidimia} *2
Wale papa na nyangumi wataka watumeze sisi- Jahazi, jahazi we!
Jahazi limejaa mizigo ya dhambi na chuki
Ewe Bwana tuondolee jahazini kwa kweli - Jahazi, jahazi we!
Jahazi lina masengenyano fitina inapatikana we!
Tuondolee jahazini kwa kweli - Jahazi, jahazi we!
Jahazi lako Bwana nataka lenye uzima wa milele
Ni jahazi la neema kwa kweli