Wewe Bwana wewe Bwana
Wewe Bwana wewe Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Views | 4,984 |
Wewe Bwana wewe Bwana Lyrics
Wewe Bwana, wewe Bwana
Wewe Bwana nifadhili- Wewe ni Mungu wangu
Unionee huruma - Wewe ee Bwana u mwema
U tayari kusamehe - Wewe u mwingi wa fadhili
Kwa wote wakuombao - Usikie sala yangu
Uangalie kilio cha ombi langu - Wewe ni Mungu wa rehema
Wewe ni mvumilivu - Uniokoe mimi mtumishi wako
Ninayekutegemea