Mwimbieni Binti Sayuni
| Mwimbieni Binti Sayuni | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Jumapili ya Matawi (Palm Sunday) |
| Views | 6,333 |
Mwimbieni Binti Sayuni Lyrics
- Mwimbeni binti sayuni, ee watu
Yuaja ni mwenye upole
Tazama ufalme wake yuaja kwetu
Kapanda punda mwanapundaSauti, tuimbe, hosanna *2
Na zipazwe leo na tumwimbie (Yesu)
Hosanna hosanna
Mwokozi, anawaita nyumbani, wana Daudi
(Yesu) amekuja kwa jina la Bwana
Wanamwimbia (Yesu) - Tandikeni nguo zenu, Bwana apite
Mbarikiwa anakuja
Pambazeni njia kwa maua mazuri
Mbarikiwa anakuja - Fungueni mioyo yenu kwake,
Apate kuingia ndani
Mpokeeni Bwana mioyoni mwenu
Bwana mwenye upole mwingi