Mfalme wa Israeli
Mfalme wa Israeli | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Jumapili ya Matawi (Palm Sunday) |
Views | 2,624 |
Mfalme wa Israeli Lyrics
- Ilipofika siku kuu Yerusalemu
yesu alipanda punda
Wana Israeli wakaja wakapiga kelele
wakisema - Hosanna - hosanna hosanna *2
Mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana *2 - Nao walitwaa matawi ya mitende *2
Wakatoka kumlaki wakipiga makelele *2 - Usiogope Binti Sayuni, kwani mfalmeo anakuja