Kweli Ilimpasa Kristu
| Kweli Ilimpasa Kristu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Views | 3,000 |
Kweli Ilimpasa Kristu Lyrics
{Kweli ilimpasa Kristu ateswe
Na kufufuka katika wafu aleluya } *2- Furahini mkishiriki mateso ya Kristu
Mtafurahi zaidi atakapofika tena - Ikiwa tulikufa pamoja na Kristu
Tutaishi pia pamoja naye - Tukiendelea kuvumilia
Tutatawala pamoja naye - Tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana
Tukifa tunakufa kwa ajili ya Bwana - Kristu alikufa akafufuka
Apate kuwa Bwana wa walio hai na wafu - Muwe waamninifu hata mpaka kufa
Nami nitawapeni taji la uhai