Kristu Kafufuka Aleluya
Kristu Kafufuka Aleluya Lyrics
Kristu (kafufuka aleluya) *2
- Leo asubuhi - twakusifu ewe Bwana
Bwana kafufuka - twakusifu ewe Bwana
- Sote tulikufa - twakusifu ewe Bwana
Sote tu wazima - twakusifu ewe Bwana
Kristu alikufa - twakusifu ewe Bwana
Tena kafufuka - twakusifu ewe Bwana
- Ili atawale - twakusifu ewe Bwana
Wafu na wazima - twakusifu ewe Bwana
- Dhambi zetu zote - twakusifu ewe Bwana
Zimeondolewa - twakusifu ewe Bwana
- Tumepatanishwa - twakusifu ewe Bwana
Na Baba Mbinguni - twakusifu ewe Bwana
- Tumemiminiwa - twakusifu ewe Bwana
Roho Mtakatifu - twakusifu ewe Bwana
- Tumeupokea - twakusifu ewe Bwana
Na uzima wake - twakusifu ewe Bwana
- Basi tutafute - twakusifu ewe Bwana
Mambo ya Mbinguni - twakusifu ewe Bwana
- Baba asifiwe - twakusifu ewe Bwana
Kwa njia ya Mwana - twakusifu ewe Bwana
- Naye Roho Mungu - twakusifu ewe Bwana
Leo na Milele - twakusifu ewe Bwana