Tuimbe Aleluya
Tuimbe Aleluya | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Pasaka (Easter) |
Views | 4,426 |
Tuimbe Aleluya Lyrics
Tuimbe - aleluya *2 Kristu amefufuka
Tuimbe - aleluya *2 Sote tushangilie- Shangilieni nyote Mwokozi yu hai-
Mauti ameshinda
Amefufuka Yesu mwana wake Mungu -
Mauti ameshinda - Msifuni nyote yeye katoka zote -
Msifuni nyote amefufuka mshindaji - - Mshukuruni nyote ushindi ni wake -
Hatuna hofu kwani tunaye Mwokozi - - Amefufuka hayumo kwenye kaburi -
Yu kati yetu sisi waamini wake - - Mshukuruni Bwana mleta uzima -
Msifuni Bwana kwenye utukufu wake -