Amefufuka Bwana Yesu

Amefufuka Bwana Yesu
Choir-
CategoryPasaka (Easter)

Amefufuka Bwana Yesu Lyrics

 1. Amefufuka Bwana Yesu
  Sote tuimbe aleluya

  Tuimbe kwa shangwe, aleluya *2

 2. Leo mapema 'kafufuka
  Sote tuimbe aleluya
 3. 'Kashinda kifo na mauti
  Sote tuimbe aleluya
 4. 'Katuondoa kwenye dhambi
  Sote tuimbe aleluya
 5. Tushangilie 'kafufuka
  Sote tuimbe aleluya
 6. Asante sana Bwana wetu
  Kwa ukombozi aleluya
 7. Ee mshindaji turehemu
  Ukae nasi siku zote