Amefufuka Leo

Amefufuka Leo
Performed by-
CategoryPasaka (Easter)
Views3,675

Amefufuka Leo Lyrics

  1. Amefufuka leo - furahini
    Yu hai Kristu Bwana - aleluya

    Aleluya aleluya *2

  2. Amefufuka Yesu -
    Tushangilie sote -
  3. Tumefufuka naye -
    Tushangilie sote -
  4. Nguvu ya dhambi zetu -
    Amezishinda zote
  5. Ametuumba upya -
    Ahimidiwe sana -
  6. Amefukuza giza -
    'Katuangaza sote