Ni Injili Yake Mungu
| Ni Injili Yake Mungu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Injili na Miito (Gospel) |
| Views | 5,074 |
Ni Injili Yake Mungu Lyrics
Ni Injili yake Mungu inaingia
Ni Injili yake Mungu inaingia *2
Ni Injili yake Mungu tunaileta
Ni Injili yake Mungu tunaileta *2
Natamani kulisoma neno hilo
Neno lake Mungu Neno la uzima *2- Tutangaze neno lake Mungu njema
Katikati yetu na waumini wote *2 - Nipeleke ujumbe wake Mungu wetu
Kwa kabila zote na waumini wote *2 - Nieleze Injili yake Mungu Baba
kwa hekalu lake na wapendwa wote *2 - Nitangaze Injili yake Mungu Baba
Kwa taifa lote na wafuasi wote