Binadamu Inama Kichwa

Binadamu Inama Kichwa
Performed bySt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryEkaristia (Eucharist)
Composer(traditional)
Views6,935

Binadamu Inama Kichwa Lyrics

  1. Binadamu inama kichwa, umwabudie Mungu mtu
    Hapa yupo ajapofichwa, ameshuka chini kwetu *2
  2. Kwa macho yetu hatuoni, ila maumbo ya mkate
    Hakuna ta mkate lakini, mwiliwe twakiri sote *2
  3. Kukaa nasi umetaka, Rabbi mwema mpenda watu
    Kwa tamaa nyoyo zawaka, njoo basi shuka kwetu *2