Nimekuja Kwako Bwana

Nimekuja Kwako Bwana
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views8,222

Nimekuja Kwako Bwana Lyrics

  1. Nimekuja kwako Bwana, nimekuja kwako
    Niwe mtumishi wako nikutumikie ee
    Nimekuja kwako Bwana, nimekuja kwako

  2. Tazama Bwana nimekuja kwako,
    Niyatimize mapenzi yako
  3. Ninafurahia ahadi yako,
    Ni kitu chenye thamani kubwa
  4. Unitegemeze niwe salama,
    Msikifu kwa maongozi yako
  5. Nisalimishe kwa fadhili zako,
    Nizingatie mapenzi zako
  6. Mafuta unipake kwenye kichwa,
    Nami wako hadi mwisho
  7. Mungu naona neno hili moja,
    Nikae kwako hadi milele