Ni Nani Hawa
Ni Nani Hawa | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | D. Kalolela |
Views | 16,116 |
Ni Nani Hawa Lyrics
Ni nani hawa watembeao kwa furaha
Wakiijongea altare
Ni wateule wake Bwana walioalikwa kwa karamu- Yakupasa ujiulize ndugu una kikwazo gani
kinachokufanya uiogope meza ya Bwana - Hebu watazame wenzako wanavyokwenda kwa furaha
Wakiijongea meza ya Bwana kwa karamu - Bwana Yesu ameutoa mwili wake kuwa chakula
Na damu yake kaitoa kwetu kama kinywaji