Ishara Kubwa

Ishara Kubwa
Performed byKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
AlbumUwe Nasi Mama Maria
CategoryBikira Maria
ComposerDeo Mhumbira
Views4,346

Ishara Kubwa Lyrics

  1. Ishara kubwa imeonekana mbinguni * 2
    { Mwanamke aliyevikwa jua,
    Na mwezi chini ya miguu yake
    Na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake } * 2

  2. Tufurahi sote tunapoadhimisha siku hii
    Kwa heshima ya Bikira Maria
  3. Malaika nao wanaishangilia siku hii
    Wanaimba na kumsifu Mungu
  4. Bikira Maria leo amepalizwa Mbinguni
    Mataifa yote tumshangilie