Login | Register

Sauti za Kuimba

Ishara Kubwa Lyrics

ISHARA KUBWA

@ Deo Mhumbira

Ishara kubwa imeonekana mbinguni * 2
{ Mwanamke aliyevikwa jua,
Na mwezi chini ya miguu yake
Na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake } * 2

  1. Tufurahi sote tunapoadhimisha siku hii
    Kwa heshima ya Bikira Maria
  2. Malaika nao wanaishangilia siku hii
    Wanaimba na kumsifu Mungu
  3. Bikira Maria leo amepalizwa Mbinguni
    Mataifa yote tumshangilie
Ishara Kubwa
COMPOSERDeo Mhumbira
CHOIRKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
ALBUMUwe Nasi Mama Maria
CATEGORYBikira Maria
MUSIC KEYC Major
TIME SIGNATURE2
4
SOURCEArusha Tanzania
NOTES Open PDF
  • Comments