Nitayainua Macho Yangu
| Nitayainua Macho Yangu |
|---|
| Alt Title | Msaada Wangu Watoka Wapi |
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 19,066 |
Nitayainua Macho Yangu Lyrics
Nitayainua macho yangu niitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana wangu *2
- Msaada wangu u katika Bwana
Aliyezifanya Mbingu na nchi (iyoo mimi)
- Asiache mguu wako usogezwe
Asisinziaye yeye akulindaye (iyoo mimi)
- Naam hatasinzia wala hatalala usingizi
Yeye aliye mlinzi wa Israeli (iyoo mimi)
- Bwana ndiye mlinzi wako Bwan ni uvuli
Wa mkono wako wa kuume (iyoo mimi)