Msifadhaike Mioyoni
| Msifadhaike Mioyoni | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) | 
| Views | 10,004 | 
Msifadhaike Mioyoni Lyrics
- Msifadhaike, mioyoni mwenu,
 Mwaamini Mungu Baba Mbinguni,
 Niamini na mimi *2Nyumbani mwa Baba, mna makao
 Mkajitahidi kuomba *2
 /s/ Nafasi ziko, nafasi zisingali kuweko
 Ningaliwaambia leo nakwenda mimi
 /b/ (Kuwaandalia) kisha nitakwenda na mimi kwa Baba
- Tomaso akamwambia, Bwana sisi hatujui uendako wewe
 Nasi twaijuaje njia *2
- Mimi ndimi njia na ukweli na uzima
 Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi
 
  
         
                            