Katika Mji Mwema
| Katika Mji Mwema | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Views | 9,940 |
Katika Mji Mwema Lyrics
- Katika mji mwema mbinguni kwa Mungu *2
Ndiko ahadi za Mungu ziendako *2Mji wangu wa huko Mbinguni juu
Nikuona ninautamani
Furaha ya dhambi yanitia giza
Nitaona lini mji mwema *2 - Ninatamani sana kwenda mji huo *2
Ambako nitaishi bila shida *2 - Mwokozi wetu Yesu, naye asikia *2
Naye atatufikisha mbinguni *2