Katika Mji Mwema

Katika Mji Mwema
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Katika Mji Mwema Lyrics

 1. Katika mji mwema mbinguni kwa Mungu *2
  Ndiko ahadi za Mungu ziendako *2

  Mji wangu wa huko Mbinguni juu
  Nikuona ninautamani
  Furaha ya dhambi yanitia giza
  Nitaona lini mji mwema *2

 2. Ninatamani sana kwenda mji huo *2
  Ambako nitaishi bila shida *2
 3. Mwokozi wetu Yesu, naye asikia *2
  Naye atatufikisha mbinguni *2