Utavuna Ulichokipanda
| Utavuna Ulichokipanda | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Views | 9,205 |
Utavuna Ulichokipanda Lyrics
- Shambani mwa Bwana, kuna kazi nyingi mbalimbali
Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovunaUtavuna ulichopanda, utavuna ulichopanda *3
Yesu Bwana ndiye mchungaji mwema
Utavuna ulichopanda, utavuna ulichopanda - Aliwaambia wanafunzi wake wakahubiri Injili
Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna - Na wewe ndugu usiyeamini unayetangatanga
Na kila mtu kile apandacho ndicho atakachovuna