Mungu Baba Twakuomba
| Mungu Baba Twakuomba | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Views | 6,285 |
Mungu Baba Twakuomba Lyrics
- Mungu Baba twakuomba katika shida zetu
Uje Baba mwenyezi katika shida zetu - Mungu Mwana twakuomba katika shida zetu
Uje Kristu u mwokozi katika shida zetu
Uje Baba twakuomba, njoo utuhurumie *2 - Mungu roho twakuomba katika shida zetu
Uje Roho u mfariji katika shida zetu - Njoo utatu Mtakatifu katika shida zetu
Uje kwetu twakuomba katika shida zetu