Una Heri Una Heri

Una Heri Una Heri
Performed bySt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumNakupenda Maria
CategoryBikira Maria
ComposerP. F. Mwarabu
Views5,579

Una Heri Una Heri Lyrics

  1. Una heri una heri Mama Bikira Maria *2

  2. Mama wa mwokozi, Maria, Mama Bikira Mtakatifu,
    Mama bora mwenye huruma, 'takuheshimu siku zote Maria
  3. Bikira uliyekingiwa, mbarikiwa Mama Maria
    Bikira usiye na doa, 'takutukuza daima Maria
  4. Uliyebarkiwa sana, kuliko wanawake wote
    Uliyejaa neema nyingi, tunakusifu Mama yetu Maria
  5. Mama mwenye usafi wa moyo Mama Bikira mpendelevu
    Mama Malkia mwaminifu, una heri kweli milele Maria