Ni Mwezi wa Maria
Ni Mwezi wa Maria | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Bikira Maria |
Views | 6,869 |
Ni Mwezi wa Maria Lyrics
{ Ni mwezi wa Maria aa aa,
salamu ee Maria aa aa } *2- Kuna mama uwinguni, Mama mwema sana,
Tulio taabuni, sisi wako wana - Tuna Mama mpendelevu mwingi wa rehema
Upokee wapotevu hugawia wema - Ewe Maria Mwombezi (wetu) mwema
twahitaji msaada (wako) daima *2 tuombee!