Ni Mwezi wa Maria

Ni Mwezi wa Maria
Performed by-
CategoryBikira Maria
Views6,043

Ni Mwezi wa Maria Lyrics

  1. { Ni mwezi wa Maria aa aa,
    salamu ee Maria aa aa } *2

  2. Kuna mama uwinguni, Mama mwema sana,
    Tulio taabuni, sisi wako wana
  3. Tuna Mama mpendelevu mwingi wa rehema
    Upokee wapotevu hugawia wema
  4. Ewe Maria Mwombezi (wetu) mwema
    twahitaji msaada (wako) daima *2 tuombee!