Mkono wako wa Kuume

Mkono wako wa Kuume
Performed bySt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumNakupenda Maria
CategoryBikira Maria
ComposerM. B. Msike
Views9,568

Mkono wako wa Kuume Lyrics

  1. { Mkono wako wa kuume amesimama Malkia
    Amevaa dhahabu ya ofiri } * 2

  2. Binti za wafalme wamo mikononi mwa kina bibi wastahi
    Mkono wako wa kuume amesimama Malkia
    Amevaa dhahabu ya ofiri *2
  3. Sikiliza binti utazame na utege sikio lako
    Usahau watu wako na nyumba ya Baba yako
    Na yeye mfalme atakutamani *2
  4. Atapelekwa kwa mfalme na mavazi yaliyofumwa vizuri
    Wanawali wenzi wake wanaomfuata kwa mfalme
    Wataelekwa kwake wakamuone
    Yumo ndani ana fahari tupu