Jina Maria

Jina Maria
ChoirSt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumNakupenda Maria
CategoryBikira Maria
SourceTanzania

Jina Maria Lyrics

Jina Maria jina tukufu lafurahisha latuliza
Hata malaika wanaliimba,
Ave ave Maria, Ave ave ave Maria
Wakisema (siku zote) bila mwisho
Ave Maria! Ave ave ave Maria

  1. Jina Maria jina tukufu, lafurahisha la tutuliza
  2. Jina Maria jina tukufu, latuletea neema ya Mungu
  3. Jina Maria jina tukufu, lawafukuza pepo wabaya
  4. Jina Maria jina tukufu, lawapendeza watakatifu