Uwinguni Ulipo

Uwinguni Ulipo
ChoirSt. Cecilia Mwenge Dsm
AlbumNakupenda Maria
CategoryBikira Maria
ComposerFr. D. Ntampambata
SourceTanzania

Uwinguni Ulipo Lyrics

Uwinguni ulipo Mama, utufikishe na sisi
Uwinguni ulipo Mama, utufikishe na sisi

 1. Sisi wana wako twakulilia,
  tusikilize utuopoe
 2. Tunaposhindana na Ibilisi,
  utupe neema ya kufaulu
 3. Mama wa Muumba tusimamie,
  utukingie maovu yote
 4. Nguvu za shetani zatuzunguka,
  mama mwema we tusaidie