Bikira Fumbo la Waridi
Bikira Fumbo la Waridi |
---|
Performed by | - |
Category | Bikira Maria |
Views | 3,682 |
Bikira Fumbo la Waridi Lyrics
Bikira fumbo la waridi (kioo cha haki)
(Bikira Amin) tuombee neema
Mbinguni (sisi) Kristu Mwanao atupeleke
- Na twende kwa Mama Maria (sote)
Twende tupate neema tuishi kwa Baba milele
- Mama wa Muumba wetu (kweli)
Bikira mwenye heshima aah tuombee dhambi tutubu
- Bikira mwenye sifa aah (kweli)
Usiye na doa aah tuombee tu wakosefu
- Malkia wa mabikira (kweli)
Waridi lenye fumbo ooh tuombee wakosefu
- Bikira Mtakatifu (kweli)
Mama Mpendelevu twalia Mwanao Yesu