Bikira Maria Uliyekingiwa Dhambi
| Bikira Maria Uliyekingiwa Dhambi | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Bikira Maria |
| Views | 6,868 |
Bikira Maria Uliyekingiwa Dhambi Lyrics
Bikira Maria uliyekingiwa ya asili
Ee Mama utuombee sisi kwa mwanao mpenzi
Yesu Kristu aliye mbunguni- Dhambi ya asili hukuipata
Ili umzae mwanao Mungu - Wewe wasifiwa ulimwenguni
Na malaika wanakusifu - Kichwa cha shetani wakikanyaga
Wewe ni mshinda wa hila zake - Utusaidie katika shida
Usituache tuangamie - Uisimamie safari yetu
Ya kwenda kwake Mungu mbinguni