Nitafurahi Sana Katika Bwana
Nitafurahi Sana Katika Bwana | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Album | Asante Mama wa Yesu |
Category | Bikira Maria |
Composer | Fr. G. F. Kayeta |
Views | 7,415 |
Nitafurahi Sana Katika Bwana Lyrics
Nitafurahi sana katika Bwana
Bwana amenivika mavazi ya wokovu
Amenifunika vazi la haki
Kama bibi harusi ajipambavyo
Kwa vyombo vya dhahabu, vyombo vya dhahabu- Nitafurahi sana katika Bwana
Nafsi yangu itashangilia katika Mungu - Bwana amenivika mavazi ya wokovu
Amenifunika vazi la haki kama bibi harusi
Ajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu