Una Heri Wewe Uliyesadiki
Una Heri Wewe Uliyesadiki | |
---|---|
Choir | St. Cecilia Mwenge Dsm |
Album | Nakupenda Maria |
Category | Bikira Maria |
Composer | F. Kashumba |
Source | Tanzania |
Una Heri Wewe Uliyesadiki Lyrics
Una heri wewe, wewe uliyesadiki
Kwa maana yatatimizwa
Uliyoambiwa na Bwana aleluya
-
Moyo wangu wamwadhimisha Bwana
Na roho yangu imeshangilia
Mungu Mwokozi wangu -
Kwa maana Bwana ameutazama
Kautazama unyonge wa mjaazi
Wake mjakazi wake -
Kwa maana wewe kautazama
Tokea sasa vizazi wataniita
Mimi ni mbarikiwa -
Kwani mwenye nguvu kanitendea
Kanitendea ametenda makuu
Nalo jina tukufu