Tumwimbie Maria
Tumwimbie Maria | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Bikira Maria |
Views | 3,215 |
Tumwimbie Maria Lyrics
Tumwimbie Maria nyimbo zetu tumshangilie *2
- Kwa utiifu alikubali kuibeba mimba ya Mungu
Ndipo nasi tuweze pata kuuona ufalme wa Mbingu - Ya dunia yote kaacha, kuifuata amri ya Mungu
Amzae Yesu Masiha Mkombozi wa wanadamu - Ya asili dhambi kakingwa hata doa la dhambi hana
Kwa kamilifu wake twapokea neema tele - Tunapchunwa na shetani macho yetu yanamtafuta
Kimbilio letu wanawe, nani kama Mama Maria