Login | Register

Sauti za Kuimba

Ninapoliwaza Jina Maria Lyrics

NINAPOLIWAZA JINA MARIA

Ninapoliwaza jina Maria (mimi), ninapolitaja jina Maria (mimi)
Moyo wangu unajaa furaha, hulitafakari daima kwa saa

 1. Jina la Maria Jina tukufu, linafurahisha na kutuliza
  Hata malaika walihimidi,
 2. Jina la Maria Jina tukufu, linafurahisha na kutuliza
  Linawapendeza watakatifu
 3. Jina la Maria Jina tukufu, linafurahisha na kutuliza
  Linawaliwaza wenye huzuni
 4. Jina la Maria Jina tukufu, linafurahisha na kutuliza
  Linawaongoza wenye mashaka
Ninapoliwaza Jina Maria
CHOIRKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
ALBUMUwe Nasi Mama Maria
CATEGORYBikira Maria
 • Comments