Ninapoliwaza Jina Maria
Ninapoliwaza Jina Maria | |
---|---|
Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
Album | Uwe Nasi Mama Maria |
Category | Bikira Maria |
Views | 5,072 |
Ninapoliwaza Jina Maria Lyrics
Ninapoliwaza jina Maria (mimi), ninapolitaja jina Maria (mimi)
Moyo wangu unajaa furaha, hulitafakari daima kwa saa- Jina la Maria Jina tukufu, linafurahisha na kutuliza
Hata malaika walihimidi, - Jina la Maria Jina tukufu, linafurahisha na kutuliza
Linawapendeza watakatifu - Jina la Maria Jina tukufu, linafurahisha na kutuliza
Linawaliwaza wenye huzuni - Jina la Maria Jina tukufu, linafurahisha na kutuliza
Linawaongoza wenye mashaka