Nitaimba kwa Furaha

Nitaimba kwa Furaha
Performed by-
AlbumUwe Nasi Mama Maria
CategoryBikira Maria
ComposerP. F. Mwarabu
Views4,877

Nitaimba kwa Furaha Lyrics

  1. {Nitaimba kwa furaha, na kucheza kwa maringo
    Nikitaja na kusifu jina lako Maria} *2

  2. Jina lako takatifu, nitaliimba kwa shangwe
    Jina lako lenye heri, nitalisifu daima
  3. Pamoja na malaika, nitalisifu kwa shangwe
    Jina lako ee Maria, jina lenye kupendeza
  4. Jina la Mama wa Yesu, jina la Malkia mwema
    Jina la Mama wa Mungu, nitalitukuza sana