Heri Maria
Heri Maria | |
---|---|
Alt Title | Tumuimbie Mama Yetu Maria |
Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
Album | Uwe Nasi Mama Maria |
Category | Bikira Maria |
Views | 4,186 |
Heri Maria Lyrics
Tumuimbie Mama Yetu Maria,
heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Tumuimbie kwa furaha na shangwe
heri Maria heri mama uliyebarikiwa- Maria Mtakatifu mama wa Mbingu
heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Maria uliyejaa neema nyingi
heri Maria heri mama uliyebarikiwa - Maria uliyemzaa mkombozi
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Maria uliyemlea mtoto yesu
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa - Mama Maria mwema usiye na doa
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
mama Maria mpole na mwenye huruma
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa - Ngoma za shangwe tumchezee Maria
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa
Vigelegele tumpigie Maria
Heri Maria heri mama uliyebarikiwa