Hongera Mama Yetu Maria
| Hongera Mama Yetu Maria | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
| Album | Uwe Nasi Mama Maria |
| Category | Bikira Maria |
| Views | 5,083 |
Hongera Mama Yetu Maria Lyrics
Hongera Mama Yetu - Maria
Kumzaa Mwana - mfaLme
Hongera hongera mama yetu
Kwa kumzaa mtoto Yesu
Mfalme na mkombozi wa wanadamu- Kwa utii wako Maria, ulikubali kumzaa mtoto
Mwanamume, kwa nini tusikuheshimu - Mwenyezi amekuchagua, kumzaa mkombozi
Mwokozi wa ulimwengu, kwa nini tusikuheshimu - Mwenyezi amekukingia, ile dhambi ya asili
Hauna doa mama, kwa nini tusikuheshimu - Umemzaa Mwokozi na bado ukabaki bikira
Bikira milele, kwa nini tusikuheshimu