Uwe Nasi Mama Maria

Uwe Nasi Mama Maria
Performed byKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
AlbumUwe Nasi Mama Maria
CategoryBikira Maria
Views5,535

Uwe Nasi Mama Maria Lyrics

  1. { Uwe nasi Mama yetu Maria,
    utushike mkono wanao } *2
    { Maisha yetu ni ya wasiwasi
    tunakutegemea wewe Maria utusaidie } *2

  2. Maombezi yako kwa Mungu yanatupa faraja sisi wanao
    Mama tuombee
  3. Peke yetu hatutaweza kuzishinda hizo nguvu za shetani
    Utusaidie
  4. Tunatamani furaha ya kuungana nawe huko mbinguni,
    Mama tuombee