Tumwimbie Mama Maria
| Tumwimbie Mama Maria | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
| Album | Uwe Nasi Mama Maria |
| Category | Bikira Maria |
| Views | 4,059 |
Tumwimbie Mama Maria Lyrics
- Tucheze tuimbe tumwimbie Mama Maria,
Amka tumwimbie Mama Maria
Tuimbe tucheze tumwimbie mama tumwimbie Maria *2 - Mama wetu mwema atupenda sisi Maria
- Njooni waumini tumwimbie mama Maria
- Njooni na watawa tumwimbie mama Maria