Login | Register

Sauti za Kuimba

Tumwimbie Mama Maria Lyrics

TUMWIMBIE MAMA MARIA

  1. Tucheze tuimbe tumwimbie Mama Maria,

    Amka tumwimbie Mama Maria
    Tuimbe tucheze tumwimbie mama tumwimbie Maria *2

  2. Mama wetu mwema atupenda sisi Maria
  3. Njooni waumini tumwimbie mama Maria
  4. Njooni na watawa tumwimbie mama Maria
Tumwimbie Mama Maria
CHOIRKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
ALBUMUwe Nasi Mama Maria
CATEGORYBikira Maria
SOURCEArusha Tanzania
  • Comments